UMRA MAALUM

Umra maalum huwa ni kwa wakati wowote katika mwaka isipokuwa mwezi wa Dulhajj.

Umra hii huwa ni kuanzia watu wanne, na gharama zake ni 3000USD  kwa mwezi wa Ramadhani na  2500USD kwa miezi mengine, gharama zilizotajwa ni kwa mtu mmoja.

Kwa maelezo zaidi wasiliana Nasi hapa