ZANZIBAR ISTIQAMA HAJJ AND TRAVELLING AGAENCY

Kuhusu Taasisi Yetu

Zanzibar Istiqaama Hajj and Travelling Agency (Istiqaama Mothercare) ni moja kati ya taasisi inayoandaa Safari za Hajj kwa muda mrefu zaidi Zanzibar na Tanzania kwa ujumla, tangu mwaka 2001. Huduma zetu kwa mahujaji pamoja na bei nafuu zimetupatia umaarufu na kuaminika katika jamii yetu. Tangu kuanzishwa kwake hadi sasa tayari imeshasafirisha takriban mahujaji 3000 , ambao kwa uwezo wa Allah tumewasaidia kutekeleza ibada ya Hijja.

Mpangilio na maelekezo ya ibada ya hajj kutoka kwa Wasomi wetu wa dini, Viongozi wa taasisi na Madaktari wanahakikisha kuwa Hujaji amejitayarisha vyema kabla ya Hijja, na wakati wa Hijja humuongoza kwenye Ziara yenyewe ya Hajj katika hali bora na utulivu.

KUSUDIO LA TAASISI

Kuwapeleka Waislamu wa Zanzibar na Tanzania kwa ujumla Hijja na Umra

  1. Wakiwa na ufahamu wa ibada yenyewe.
  2. Kwa gharama nafuu kulingana na huduma tunazotoa na sio rahisi kibei tu.
  3. Kuwakuza Mahujaj Kidini na Kiafya

SHUGHULI ZA HAJJ

Kwa nini Mothercare huanza safari Madina

1. Mothercare hufungua kambi Madina
2. Mahujaj huwa wana muda zaidi kusikiliza semina
3.  Hujaj hutayarishwa kisaikolojia kuingia kwenye ibada
4.  Hujaj huanza kuzoea mazingira ya kukutana na watu wengi sehemu za ibada na ziara
5. Madaktari hujua ipasavyo Afya za Mahujaj
6. Mahujaj hufundishwa na kuijua uzuri ibada ya UMRA na HIJJA
7. Mahujaj hupewa Medical tipsili kujitayarisha kuwa na afya njema wakati wote wa safari na itakapotokezea emergency
8.  Kuutembelea msikiti wa Mtume Muhammad SAW
9.  Kuitambua historia ya Uislam Madina na huzitembelea sehemu za Kiistoria

VIONGOZI WETU

VIONGOZI MAKINI NA WANATOA HUDUMA BORA

HEAD OFFICE ZANZIBAR

Chairman: Hamed Humoud Hamed
Finance Manager: Mohammed Khamis Marshed
Secretary: Dr Slim Mohammed Mgeni
Coordinator: Dr Naufal Kassim Mohammed

PEMBA

Rashid Khatib Ali

WOMEN'S WING

Doctor: Mtumwa Issa Sharif
Shufaa kassim Mohammed
Fatma Khamis Marshed
Wahida Abubakar Ali
Fatma said
Zuwena Abdalla habib

DAR ES SALAAM OFFICE

Chairman: Abdalla Mohammed Salim
Munadhim: Issa Kassu Hassanali

GROUP SHEIKH

Sh. Saleh Omar Kabi
Sh. Ali Sharif Maalim
Sh. Iddi Said Khamis

VIONGOZI WENGINE

Salum Kassim Salum
Mohammed Ali
Mussa Sharrif
Abdalla Mohammed Mbarouk
Eddy Black