🕋 HIJA CLASS D

Hija ya Elimu na Utulivu kwa Gharama Nafuu

Hija Class D ni chaguo bora kwa mahujaji wanaotafuta huduma sahihi za Hija kwa bei nafuu, huku wakihakikishiwa elimu ya ibada, mwongozo wa karibu na mpangilio mzuri wa safari.

Huduma Zinazojumuishwa:

  • ✈️ Safari ya ndege (Economy Class – Saudia Airlines)

  • 🏨 Madina: Maysan Al Marithia Hotel (Hoteli ya Nyota 5) – Siku 5

  • 🚄 Usafiri wa Treni (Economy Class) Madina → Makkah

  • 🏨 Makkah: Lulua Al Nuair Hotel – Siku 17

  • Makazi ya Mina – Class D

  • ⛰️ Mahema ya Arafat – Class D

  • 📚 Elimu ya Hija na Semina za Maandalizi

  • 👥 Uangalizi wa karibu wa mahujaji

Bei ya Package:

💰 USD 6,500

🔘 Wasiliana Nasi kwa Maelezo Zaidi

Jisajili Sasa kwa Hija 2026.

Usikose fursa ya kutekeleza ibada yako tukufu kwa elimu, utulivu, uaminifu na uongozaji wa kitaalamu. Istiqaama Mothercare ipo tayari kukusimamia safari yako kuanzia maandalizi hadi kurejea salama.

HAJJ REGISTRATION FORM 2026

Istiqaama Mothercare – ZIHATA

Jaza fomu hii kwa usahihi ili kujiandikisha kwa Hija 2026.